top of page
Logo background green.png

Elimu Bora by Ivy Linet, Janet Wambui - A1

US$570.00Price

Vile niliona 123 ilinikumbusha first time nikiingia

shule niliandika chini kwa mchanga. Nilifurahi kuona watoto wenzangu na tukaanza kupiga story na kucheka. Baada ya muda mwalimu aliingia darasani na kuanza kuzungumza na kujua jina la kila mwanafunzi.

Tulifurahia kupata mwalimu mkarimu na mwenye

uraha. Nashukuru wazazi wangu kunipeleka shule, na kupata elimu na kujua haki zangu.

Na kujua kusoma na kuandika

    bottom of page