top of page
Logo background green.png

Untitled Story by Kibibi - A4

US$115.00Price

"Katika safari ya maisha yangu nilipatana na kijana ambae tulipendana sana.Tulifikia katika hali ya ndoa.Hapo ndipo nilipoanza maisha yangu ya ndoa. Baada ya muda nilibeba ujauzito nikajifungua mtoto wa kike. Kwa sababu ya malezi ya mtoto wangu sikuendelea na biashara.

Mimi na mavyaa hatukuelewana. Siku moja ya ijumaa tulielekea msikitini mimi, bwanangu na mtoto wetu.Tulipokuwa tukitoka, mavyaa alituona na kutuita. Alituambia ni lazima twende hospitalini tukaone mtoto wa nduguye aliyekuwa mgonjwa na alikuwa amelazwa."

    bottom of page