top of page
Logo background green.png

Untitled Story by Mariam - A4

US$115.00Price

"Mama alimuomba tajiri wake kama hawezi kumtibu amrudishe kwao. Tajiri akamjibu afanye kazi miezi mitatu bila malipo mwisho aweze kumkatia tikiti ya kurudi kwao.Mama huyo alijuta majuto ya firauni.Akaseme ni sawa tu.Alijikaza na ugonjwa wake akafanya kazi na huzuni nyingi sana moyoni."

    bottom of page