"MWANA KUPATA UJA UZITO NA BABAKE BAADA YA FAMILIA KUWACHANA"
Mwaka wa 2018, kulikua na familia moja iliokua ikiishi kwenya kijiji kimoja kilichoitwa Samiti. Hio jamii ilikua na wana wawili pamoja na wazazi wao. Wana hao walikua wanapendwa na hata wazazi wangepata watu wakiwachapa wangekasirika. Aisha mwenye miaka mitano na Abdul mwenye miaka minne. Wazazi wao walijitahidi ili wanawe wawe na lishe bora.
Ingawa kulikua na changamoto hapa na pale, walijitahidi na hali ilivyokua. Wana walikosa kwenda shule kwa sababu ya majukumu, ilikuwa bora wapate tu lishe.
Kwenye mwaka wa 2019, Corona iliweza kuingia na kazi ikakosekana kabisa. Kwenye mfungamano baba yao aliweza kushikwa kwa sababu ya kukosa barakoa. Hapo ndipo hali ilianza kukua ngumu. Mama naye akakosa kazi. Aisha naye alianza kuiba chakula kwa jirani na kumletea Abdul. Hiyo tabia ilizidi na mama yao hakushugulika hata kidogo.
Wana hao waliondoka nyumbani na kwenda kwenye mtaa wa Jiba. Mama yao alikosa chakula kabisa. Baba yao alipotoka gerezani, alipata wana wake hawapo tena. Aliwatafuta lakini hakuwapata. Nyumba yao ilifungwa na wote wakalala nje. Wana walienda sababu maisha yalikuwa magumu kabisa. Hapo ndipo mama yao akashikwa na stress. Pia akatoweka nyumbani kwenda kutafuta wanawe.
Aliporudi alipata nyumba imefungwa na akalala nje.
Wakati baba yao alirudi, alipata wana wake wametoweka na pia mama yao ametoweka, na hakujua walikoenda. Vile pia yeye hakuwa na mahali pa kukaa, alienda kutafuta riziki mtaani. Alipokaa huku, aliwaza na kuwazua mahali wana wake wameenda, lakini hakujua.
Baada ya miaka miwilli, alikutana na mschana mmoja na huyo msichana alikuwa mwana wake lakini hakufahamu. Walijadili pamoja lakini hakufahamu ya kwamba alikuwa mwana wake. Waliambiana kama wanaweza kuishi pamoja na kutengeneza familia pamoja kama mke na mume. Hapo ndipo Aisha alipata uja uzito wa baba yake bila kufahamu. Walipokuwa wakijadili kuendelea na maisha yao, walianza kuambiana mahali walikotoka, na kujua kuwa walikuwa familia moja. Hapo ndipo walishindwa wafanye nini na mwana ashapatikana. Walijadili na kusema kuwa wangemuua huyo mwana, lakini Aisha alimpenda mwana huyo sana. Hivyo ndivyo familia ilipata mwana kwa kukosa kujua.

